Psalms 68:24-26


24 aEe Mungu, maandamano yako yameonekana,
maandamano ya Mungu wangu, Mfalme wangu,
yakielekea patakatifu pake.

25 bMbele wako waimbaji, baada yao wapiga vinanda,
pamoja nao wako wanawali wakipiga matari.

26 cMsifuni Mungu katika kusanyiko kubwa,
msifuni Bwana katika kusanyiko la Israeli.
Copyright information for SwhKC